Back to home
Natembea akemea chuki, awaambia wanasiasa kuendeleza siasa za amani
video
C
Citizen TV (Youtube)December 29, 2025
3h ago
Gavana wa Kaunti ya Trans Nzoia, George Natembeya, ametoa wito kwa viongozi wa kisiasa kuzingatia mazungumzo yenye heshima na siasa za hoja wanapotwaa majukwaa ya kisiasa. Natembeya akisema kuwa matumizi ya lugha ya chuki, kejeli na dharau yanachochea migawanyiko nchini. Akizungu
Advertisement
Advertisement

