Back to home

Kalonzo atetewa Kitui huku wanasiasa wakikosoa matamshi ya Rais Ruto

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 29, 2025
2h ago
Baadhi ya viongozi kutoka kaunti ya kitui wametoa wamemtetea kinara wa wiper kalonzo musyoka kufuatia matamshi ya punde zaidi ya rais william ruto kuwa hakufanya maendeleo yoyote maeneo ya ukambani. Wanasiasa hawa pia wakimpigia debe kalonzo kwa kiti cha urais kwenye uchaguzi mku
Advertisement