Back to home

Mbunge wa Kaiti atoa wito usaidizi wa mapema ya mgao wa shule

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 30, 2025
2h ago
Mbunge wa Kaiti Joshua Kimilu anaitaka serikali kuhakikisha mgao wa shule unatolewa kwa wakati ufaao, shule zinapofunguliwa juma lijalo. Kimilu akisema kuwa kuchelewa kwa utoaji wa mgao kumekuwa kukitatiza shule kwa muda. Alikuwa akizungumza alipoongoza utoaji wa basari za shilin
Advertisement