Back to home
Maandamano Nandi wakazi walalamikia pombe haramu baada ya vifo
video
C
Citizen TV (Youtube)December 30, 2025
2h ago
Wakazi wa eneo la Kamonjil, Chesumei kaunti ya Nandi waliandamana kulalamikia ongezeko la pombe Haramu wanayosema imesababisha zaidi ya watu watano kupoteza maisha katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita.
Advertisement
Advertisement





