Back to home
Familia ya 'bouncer' aliyefariki baada ya kupigwa risasi inataka uchunguzi kuharakishwa
video
N
NTV Kenya (Youtube)December 31, 2025
2h ago
Familia ya Dominic Munuve mlinzi au bouncer wa klabu moja mjini Machakos aliyefariki baada madai ya kupigwa risasi sasa inataka DCI mjini Machakos kuharakisha uchunguzi wake ili washukiwa wafunguliwe mashtaka.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and
Advertisement
Advertisement





