Back to home

Tanzania yafuzu 16 bora CHAN, Uganda yataaga baada ya kupoteza 3-1 kwa Nigeria

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 31, 2025
6h ago
Timu ya taifa ya Tanzania imefuzu hatua ya 16 bora kwenye mchuano wa CHAN kufuatia sare ya bao moja dhidi ya Tunisia usiku wa jana. Uganda wameyaaga mashindayo kwa kichapo cha tatu moja kutoka kwa Nigeria.
Advertisement