Back to home

Tetesi za kupandishwa kwa karo za sekondari zaibua mvutano kati ya serikali na Ndindi Nyoro

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 31, 2025
3h ago
Sintoifahamu imeibuka katika sekta ya elimu kuhusu tetesi kuwa karo ya sekondari ya juu zitapanda mwakani. Licha ya serikali kupinga taarifa hiyo, mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro sasa anasema serikali ina mpango wa kuongeza karo kinyume cha sheria. Kulingana na Nyoro, karo ya mwaka
Advertisement