Back to home
Mhudumu wa bodaboda Gitaru aaga dunia baada ya kugongwa na matatu
video
N
NTV Kenya (Youtube)January 1, 2026
5h ago
Mwanamume mmoja ambaye ni mhudumu wa bodaboda Gitaru, Kabete kaunti ya Kiambu, aliaga dunia baada ya kugongwa na matatu na baadaye umati uliokuwa na ghadhabu wakateketeza moto matatu hiyo.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Ke
Advertisement
Advertisement





