Back to home
Rais Ruto asuta viongozi wa upinzani, akilenga kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka
video
C
Citizen TV (Youtube)January 1, 2026
2h ago
Rais William Ruto ameendelea kuwasuta viongozi wa upinzani akidai kwamba hawana sera au rekodi za maendeleo za kukabiliana naye kisiasa kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027. Akizungumza katika uwanja wa bukhungu mjini kakamega baada ya kuhudhuria fainali za kipute cha soka cha g
Advertisement
Advertisement



