Back to home
Kiangazi kikali Turkana chatishia maisha ya watoto, wafugaji wahamia Uganda
video
C
Citizen TV (Youtube)January 2, 2026
3h ago
Kiangazi kikali kinaendelea kushuhudiwa kaunti ya Turkana huku watoto chini ya umri wa miaka mitano wakiwa katika hali ya hatari ya kukumbwa na utapiamlo kutokana na ukosefu wa chakula. Wafugaji pia wameanza kuhamia nchi jirani ya Uganda kuwatafutia mifugo wao maji na nyasi.
Advertisement
Advertisement





