Back to home

Wakimbizi wa mapigano eneo la Ololama, TransMara wapewa msaada

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 6, 2026
1d ago
Wakimbizi wa mapigano baina ya jamii mbili eneo la Ololama Ang'ata Barikoi eneo bunge la Transmara Kusini waliokita kambi katika Shule ya msingi ya Siteti wamepokea msaada wa chakula ikiwemo mahindi, Maharagwe, malazi na Nguo kutoka kwa wahisani.
Advertisement