Back to home

Viongozi wa Jubilee wamtetea Uhuru Kenyatta kuhusu fedha za Azimio

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 6, 2026
1d ago
Viongozi wa chama cha Jubilee wamemtetea rais mstaafu uhuru kenyatta kuhusu madai kwamba fedha alizotoa hazikuwafikia ma-ajenti wa muungano wa azimio katika uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2022. Haya yanajiri huku seneta wa Migori Eddy Oketch akiondoa hoja ya kutaka kumtimua Edwin Sifu
Advertisement