Back to home
Wamiliki wa BBS Mall waitaka NCIC kuchukua hatua kali dhidi ya madai ya Gachagua
video
N
NTV Kenya (Youtube)January 7, 2026
1d ago
Wamiliki wa BBS mall sasa wanaitaka NCIC kuchukua hatua kali za kisheria dhidi ya Rigathi Gachagua kwa madai yake kwamba jumba hilo lilijengwa kupitia pesa za ulaghai zilizotoka Marekani.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Ken
Advertisement
Advertisement




