Back to home
Ruto aagiza ujenzi wa vituo vya kurekebisha waathiriwa wa mihadarati kote nchini
video
C
Citizen TV (Youtube)January 7, 2026
1d ago
Rais William Ruto ameagiza kujengwa kwa vituo vya serikali vya kurekebishia tabia kwa waathiriwa wa mihadarati na pombe kwenye kaunti zote nchini. Rais akisema kuwa hatua hii itasaidia pakubwa kudhibiti uraibu huo.
Advertisement
Advertisement




