Back to home

Joho aongoza maadhimisho ya kumbukumbu ya Raila Odinga Pwani

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 7, 2026
1d ago
Huko Pwani, viongozi wa ODM waliandaa maadhimisho ya siku ya kuzaliwa kwa marehemu Raila Odinga. Wakiongozwa na waziri Ali Hassan Joho, viongozi hao wamemtaja marehemu Raila kama nguzo kuu ya demokrasia na mfano wa kujitolea
Advertisement