Back to home
Ufadhili wa elimu Kilifi
video
C
Citizen TV (Youtube)January 8, 2026
22h ago
Huku shule zikiwa zimefunguliwa kwa muhula wa kwanza kote Nchini, serikali ya kaunti ya Kilifi imewataka wazazi wa kaunti hiyo kuwasilisha stakabadhi za wanafunzi wanaojiunga na gredi ya 10 ili wapewe ufadhili wa masomo. Wanafunzi zaidi ya 2, 000 wamenufaika na mpango huo tangu u
Advertisement
Advertisement



