Back to home

Serikali ya Kenya yaidhinisha matuizi ya chanjo ya kuzuia maambukizi ya HIV

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 10, 2026
13h ago
Kenya imepiga hatua muhimu katika mapambano dhidi ya maambukizi mapya ya virusi vya HIV ambavyo husababisha UKIMWI. Wizara ya afya imependekeza kusajiliwa kwa dawa mpya ya kinga dhidi ukimwi inayodumu kwa muda mrefu, inayojulikana kama lenacapavir. Dawa hii inaleta matumaini mapy
Advertisement