Back to home

Wazazi wapinga ujenzi wa sanamu ya Mbunge shuleni

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 10, 2026
13h ago
Wazazi na wakazi wa Acherspost samburu mashariki,wameshtumu vikali kujengwa kwa sanamu ya mbunge wa eneo bunge hilo Jackson Lekumontare katika shule ya upili ya wasichana ya UASO. Wazazi hao wanadai shilingi milioni kumi na tano za umma zilifujwa katika kufadhili ujenzi wa sanamu
Advertisement