Back to home

Walimu wa shule za upili kusoma mtaala mtandaoni katika maadnalizi ya gredi 10

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 10, 2026
13h ago
Huku taifa likijiandaa kwa masomo ya gredi ya kumi, walimu katika shule za upili wamepewa fursa ya kujifunza kuhusu mtaala wa CBE kupitia tovuti ya KNEC. Akifanya tangazo hilo, afisa mkuu mtendaji wa baraza la mitihani nchini David Njegere alisema kuwa kozi hiyo inatolewa bila ma
Advertisement