Back to home

Shule ya Morijo Samburu kaskazini yafanikisha KCSE, watahiniwa 147 kati ya 171 wafaulu

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 11, 2026
5h ago
Licha ya Samburu kaskazini kushuhudia visa vya uvamizi wa mara kwa mara, shule moja ya upili iliibuka kidedea kwenye mtihani wa kitaifa wa KCSE wa mwaka jana. Watahiniwa 147 kati ya 171 kutoka shule ya upili ya Morijo wameandikisha matokeo ya kuwapa fursa ya kujiunga na vyuo viku
Advertisement