Back to home

Mwanamke afariki baada ya kutetetea ndani ya nyumba Diani, Kwale

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 12, 2026
2h ago
Mtu mmoja amefariki katika mkasa wa moto ulioteketeza nyumba sita katika eno la Millenium mjini Diani kaunti ya Kwale. Inasemekana mwanamke huyo wa miaka arobaini alipiga kamsa majira ya saa tisa alfajiri ya leo baada ya nyumba yake kushika moto kabla ya keuenea hadi nyumba zingi
Advertisement