Back to home

ODM yajipanga 2027, wafikia makubaliano na UDA Kilifi

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 12, 2026
5h ago
Kamati kuu ya chama cha ODM imeafikiana kuanzisha mazungumzo na chama cha UDA kwa minaajili ya kuunda muungano imara wa kisiasa kwenye uchaguzi mkuu ujao. Katika mkutano uliofanyika kaunti ya kilifi na kusimamiwa na kinara wa chama hicho Oburu Oginga, waliohudhuria wameafikiana k
Advertisement