Back to home

Ruto aendeleza ziara Mlima Kenya, akisisitiza imani na uhusiano wake Mlimani

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 12, 2026
5h ago
Rais William Ruto ameendelea na ziara yake ya Mlima Kenya kwa siku ya pili leo huku akimrushia vijembe aliyekuwa naibu wake Rigathi Gachagua kwa kukosa ushawishi wa kisiasa. Ruto aliyehutubia mikutano maeneo bunge ya Nyeri mjini na Mathira, amejipiga kifua akimuonya Gachagua kuwa
Advertisement