Back to home

Mumo asimama imara, afanya KCSE na kupata A licha ya changamoto Dandora

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 12, 2026
6h ago
Tukiangazia KCSE ni kuwa, furaha zimeendelea kwa familia za wanafunzi waliofanya vyema kwenye mtihani huu wa kitaifa, lakini Mbali na shangwe hizi, kuna wale walio na simulizi za kuvutia ambao hawakukata tamaa licha ya mazingira magumu. Miongoni mwao ni Shalom Wambua Mumo, ambaye
Advertisement