Back to home
Kibra yafurahia polisi, wakazi washerehekea juhudi za kulinda amani
video
C
Citizen TV (Youtube)January 12, 2026
5h ago
Wakazi wa Kibera walifanya sherehe ya kuwashabikia maafisa wa polisi wa eneo hilo pamoja na wanachama wa usalama wa jamii, kufuatia kile wanachosema ni kupungua kwa visa vya uhalifu. Tukio hilo lililenga kutambua juhudi zao katika kudumisha amani na usalama katika mtaa huo.
Advertisement
Advertisement





