Back to home
Msichana aliyefanya vyema asimulia masaibu ya masomo ya mtoto wa kike Samburu
video
C
Citizen TV (Youtube)January 13, 2026
2h ago
Siku chache baada ya kutangazwa rasmi kwa matokeo ya mtihani wa kitaifa wa KCSE ya mwaka jana, mwanafunzi Gladys Lengarbatei aliyepata alama ya ya A- amesimulia changamoto alizopitia kama msichana katika jamii ya Samburu. Gladys akielezea pandashuka ya elimu, na safari yake ya ku
Advertisement
Advertisement




