Back to home
Jason Mutahi ashinda shilingi milioni mbili kwenye shindano la Jipange na Viusasa
video
C
Citizen TV (Youtube)January 13, 2026
2h ago
Baada ya miezi miwili ya shindano la Jipange na Viusasa, Jason Mutahi, mkazi wa Ngong katika Kaunti ya Kajiado, ameibuka mshindi mkuu baada ya kujishindia shilingi milioni mbili.
Advertisement
Advertisement
