Back to home

LSK yakashifu agizo la mahakama ya Nakuru kuhusu uwakilishi wa serikali

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 13, 2026
2h ago
Chama cha mawakili nchini LSK kimekashifu agizo la mahakama kuu ya nakuru kuwazuia mawakili wa kibinfasi kuwakilisha idara za serikali mahakamani. Chama hicho kinadai uamuzi huo unaashiria vita dhidi ya taaluma ya uanasheria na utumizi mbaya wa mamlaka ya idara ya mahakama. LSK,
Advertisement