Back to home

Familia Mombasa yafuatilia serikali baada ya jamaa wao kupotea Urusi tangu Novemba

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 14, 2026
2h ago
Familia moja mjini Mombasa sasa inataka majibu kutoka kwa serikali baada ya jamaa yao aliyeelekea Urusi kwa kazi kupoteza mawasiliano. Familia ya Arrestus Kiti Nyale kutoka eneo la Junda huko Kisauni, inasema jamaa yao aliwaarifu kuwa alikuwa urusi kujiunga na jeshi, ila sasa ime
Advertisement