Back to home

Wazee wa Siaya wapokea vitambulisho vya kitaifa, miongoni mwao mzee wa miaka 72

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 14, 2026
2h ago
Hebu fikiri hili, mzee wa miaka 72 kuwa miongoni mwa watu waliojitokeza kupata kitambulisho cha kitaifa na umri huo? Hii ilikuwa hali katika kaunti ya Siaya ambako mamia ya wakongwe wamekuwa baadhi ya watu waliojitokeza kupata vutambulisho. Fredrick Agawa, mwenye umri wa miaka sa
Advertisement