Back to home

Wagonjwa zaidi ya 60 wamepokea huduma za upasuaji bila malipo Nyamira

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 15, 2026
2h ago
Wagonjwa zaidi ya 60 wamepokea huduma za upasuaji bila malipo katika hospitali ya rufaa ya nyamira, kwenye kambi ya matibabu ya bure iliyoandaliwa na serikali ya kaunti ya nyamira kwa ushirikiano na madaktari 31 kutoka marekani na kampuni ya Guardian.
Advertisement