Back to home
Wanafunzi 3 wa gredi ya 10 warudia gredi ya 9 kwa kukosa karo
video
C
Citizen TV (Youtube)January 15, 2026
2h ago
Wanafunzi watatu waliokamilisha masomo yao ya gredi ya Tisa katika shule ya msingi ya Mupeli mjini Bungoma na kuitwa kujiunga na shule za C1 za gredi ya kumi wamelazimika kurudia gredi ya Tisa kutokana na ukosefu wa karo .
Kulingana na mwalimu mkuu wa shule hiyo Everlyne Wambaya,
Advertisement
Advertisement





