Back to home

Wakulima Kisumu wapoteza mamilioni kutokana na uvamizi wa nyuni katika mashamba ya mpunga

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 15, 2026
2h ago
Wakulima wa mpunga katika kaunti ya Kisumu wanakadiria hasara ya mamilioni ya pesa, kutokana na uvamizi wa nyuni. Kwa sasa, jumla ya ekari 94 za mpunga zimeharibiwa chini ya muda wa siku kumi
Advertisement