Back to home
Wakulima wa mpunga walalamikia hasara ya ndege
video
C
Citizen TV (Youtube)January 16, 2026
2h ago
Wakulima wa mpunga katika kaunti ya Kisumu wanakadiria hasara ya mamilioni ya pesa, kutokana na uvamizi wa nyuni. Kwa sasa, jumla ya ekari 94 za mpunga zimeharibiwa chini ya muda wa siku kumi.
Advertisement
Advertisement



