Back to home
Jeraha la mgongo halikumzuia kufanya vyema KCSE
video
C
Citizen TV (Youtube)January 16, 2026
3h ago
Kijana mmoja katika kaunti ya Kericho ameandikisha matokeo bora kwenye mtihani wa kitaifa wa KCSE, licha ya kuugua na kulazimika kukatiza masomo yake kwa miaka kumi. Alex Kipkirui alirejea kufanya mtihani wake wa KCSE mwaka jana huku akiwa na majeraha ya uti wa mgongo yaliyomkose
Advertisement
Advertisement




