Back to home
Serikali yaweka mikakati ya kumaliza Kansa ya Kizazi
video
C
Citizen TV (Youtube)January 16, 2026
2h ago
Idara ya afya imetakiwa kuanzisha mchakato wa kutoa hamasisho kwa umma kuhusu umuhimu wa kufanya ukaguzi wa saratani ya kizazi mapema iwezekanavyo.
Kulingana na madaktari wa saratani hapa nairobi, idadi kubwa ya wagonjwa nchini hufika hospitalini kwa matibabu baada ya kuathirika
Advertisement
Advertisement




