Back to home

Kukumbatia miti kuna madhara, wizara ya afya yaonya

video
N
NTV Kenya (Youtube)
January 16, 2026
2h ago
Wizara ya Afya imewaonya wananchi dhidi ya kujihusisha na vitendo vya kukumbatia miti kwa muda mrefu bila kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu, ikisema kuwa shughuli hiyo inaweza kuwa nzito kwa mwili na kuhatarisha afya. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news to
Advertisement