Back to home
Mzozo wa ardhi Rumuruti
video
C
Citizen TV (Youtube)January 16, 2026
2h ago
Mzozo kuhusu umiliki wa sehemu kubwa ya ardhi inayokadiriwa kuwa zaidi ya ekari 23,000 katika kata ya Thome, tarafa ya Rumuruti katika Kaunti ya Laikipia unaibuka kati ya makundi mawili.
Ardhi hii ilinunuliwa na wanachama zaidi ya 5,000 wa kundi la Mathira-Kihundui-Kahonoki Gitaa
Advertisement
Advertisement
