Back to home
Viongozi Lamu watoa wito kwa serikali kuondoa amri ya kutotoka nje
video
N
NTV Kenya (Youtube)January 16, 2026
2h ago
Viongozi wa kidini na wa kijamii Lamu wametoa wito kwa serikali kuondoa amri ya kutotoka nje (curfew) na vizuizi vingine vya muda mrefu vya usalama, wakisema vimelemaza uchumi wa eneo hilo.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by K
Advertisement
Advertisement





