Back to home
Mshukiwa wa mauaji ya Shakahoka akiri mashtaka na kutoa ushahidi mpya mahakamani Mombasa
video
C
Citizen TV (Youtube)January 17, 2026
4h ago
Mmoja wa washukiwa wa mauwaji ya halaiki msituni shakahola kaunti ya Kilifi aliyebadilisha nia na kuwa shahidi wa serikali amefichua simulizi mpya za mauwaji. Pia alielezea maneno yaliokuwa yakitumika msituni humo kuangamiza waumini wa kanisa lililoongozwa na mhubiri tata Paul Ma
Advertisement
Advertisement




