Back to home

Wauguzi watangaza ilani ya siku 7 ya mgomo nchini

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 17, 2026
3h ago
Sekta ya afya nchini inakabiliwa na migogoro inayoendelea kutokota. Siku moja tu baada ya wauguzi wa Kaunti ya Nairobi kugoma wakidai mishahara yao, Muungano wa Kitaifa wa Wauguzi umetangaza ilani ya siku saba kwa serikali kufanya mazungumzo nao lau sivyo wauguzi wote watagoma .
Advertisement