Back to home

Vijana wawili wafariki baada ya kuzama kwenye bwawa Kabete

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 18, 2026
9h ago
Vijana wawili wamefariki baada ya kuzama kwenye bwawa lililo karibu na mto Gatara eneo la Kabete kaunti ya Kiambu. Vijana hawa wamefariki walipokuwa wakirejea nyumbani kutoka kanisani
Advertisement