Back to home
Rais Ruto awasuta wakosoaji wa miradi ya serikali
video
C
Citizen TV (Youtube)January 19, 2026
2h ago
Rais William Ruto ameendelea kuwasuta wapinzani wake wanaopinga mpango wa kuwapa vijana mtaji wa Nyota. Akiwahutubia vijana kutoka Nairobi, Kiambu na Kajiado, Ruto amewataka viongozi wa upinzani wakome kuwapotosha vijana wanaotafuta njia ya kujikwamua kimaisha.
Advertisement
Advertisement




