Back to home
Mfanyabiashara auwawa na polisi Karatina
video
C
Citizen TV (Youtube)January 19, 2026
7h ago
Wafanyabiashara wa Karatina kaunti ya nyeri walifunga barabara kuu, wakitaka hatua kuchukuliwa dhidi ya polisi aliyempiga risasi mfanyabiashara George Gathu jana usiku. mamlaka ya kuchunguza utendakazi wa polisi IPOA imesema imeanzisha uchunguzi, baada ya afisa huyo Peter Wamiti
Advertisement
Advertisement



