Back to home

Afueni ya wakulima na wafugaji kaunti ya Garissa huku wakipokea habari kuhusu utabiri kupitia simu

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 20, 2026
5h ago
Wakulima na wafugaji kutoka kaunti ya Garissa sasa watakuwa wakipokea habari kuhusu utabiri wa hali ya hewa kwenye simu zao za rununu ili kujiandaa na kujiepusha na hasara zinazosababishwa na ukame na mafuriko.
Advertisement