Back to home

Vijana waliofikisha umri wahimizwa kujisajili kupiga kura Kwale

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 20, 2026
4h ago
Vijana waliofikisha umri wa kujiandikisha kama wapiga kura katika kaunti ya Kwale wamehimizwa kuendelea kujisajili na kutafuta nyadhifa za kisiasa katika uchaguzi mkuu ujao. Baadhi ya viongozi wa kidini na maafisa wa shirika la World Radiance International wamewataka vijana kutok
Advertisement