Back to home
Walimu wa KUPPET eneo la Kuria watishia kujitenga na muungano huo
video
C
Citizen TV (Youtube)January 20, 2026
1d ago
Walimu Kutoka Kuria wametishia kususia na kujitenga na Muungano wa walimu KUPPET tawi la migori Kufuatia madai ya ubaguzi.
Walimu hao wanasema wamejipata katika njia panda wanapopigania maslahi Yao katika kuppet Hali ambayo imelemaza utekelezaji wa makubaliano ya muungano huo wa
Advertisement
Advertisement



