Back to home
Mbinu ya kutoa habari kuhusu hali ya anga yazinduliwa Garissa
video
C
Citizen TV (Youtube)January 20, 2026
3h ago
Wakulima na wafugaji kutoka kaunti ya Garissa sasa watakuwa wakipokea habari kuhusu utabiri wa hali ya hewa kwenye simu zao za rununu ili kujiandaa na kujiepusha na hasara zinazosababishwa na ukame na mafuriko.
Kwenye uzinduzi wa awamu ya pili ya mradi wa Wiser-Kenya mjini Gariss
Advertisement
Advertisement





