Back to home
Kaunti ya Uasin Gishu, shirika la SNV zashirikiana kupiga jeki vijana wanaojihusisha na kilimo
video
C
Citizen TV (Youtube)January 20, 2026
3h ago
Serikali ya kaunti ya Uasin Gishu kwa ushikiano na shirika moja lisilo la serikali imetia saini mkataba wa kuwasaidia vijana katika kaunti hiyo kuanzisha kilimo cha kisasa pamoja na kilimo biashara. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Mjini Eldoret, Gavana Jonathan Bii amesema,
Advertisement
Advertisement





