Back to home

Muhoozi Kainerugaba azua tetesi kwa matamshi dhidi ya Bobi Wine

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 20, 2026
2h ago
Mkuu wa majeshi ya Uganda ambaye pia ni mwanawe rais Yoweri Museveni, Muhoozi Kainerugaba amezua tetesi baada ya matamshi yake kwenye mtandao wa x akielezea ari ya kutekeleza mauaji ya kiongozi wa upinzani Bobi Wine. Kwenye ujumbe wake, Muhoozi pia ameshabikia mauaji ya wafuasi 2
Advertisement